• HABARI MPYA

  Monday, August 15, 2022

  YANGA TAYARI WAPO ARUSHA KUANZA KUTETEA UBINGWA KESHO


  KIKOSI cha mabingwa wa Tanzania Bara, Yanga SC kimewasili salama Arusha tayari kwa mchezo wake wa kwanza  Ligi Kuu dhidi ya Polisi Tanzania kesho Uwanja wa Sheikh Amri Abeid mjini humo.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: YANGA TAYARI WAPO ARUSHA KUANZA KUTETEA UBINGWA KESHO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top