• HABARI MPYA

  Sunday, August 28, 2022

  ARSENAL YAICHAPA FULHAM 2-1 EMIRATES


  WENYEJI, Arsenal jana wameichapa Fulham FC mabao 2-1 katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Emirates Stadium Jijijni London. 
  Mabao ya Arsenal yamefungwa Martin Odegaard dakika ya 56 na Gabriel Magalhaes dakika ya 85, wakati la Fulham limefungwa na Aleksandar Mitrović dakika ya 56.
  The Gunners wanafikisha pointi 12 baada ya kushinda mechi zote nne na sasa wanaongoza Ligi kwa pointi mbili zaidi ya Manchester City.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: ARSENAL YAICHAPA FULHAM 2-1 EMIRATES Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top