• HABARI MPYA

  Wednesday, August 03, 2022

  CRDB YAPIGA JEKI MATAMASHA YA SIMBA NA YANGA


  BENKI ya CRDB imetoa udhamini kwa vigogo wote wa soka nchini, Simba na Yanga kuelekea matamasha yao ya Siku ya Mwananchi Jumamosi na Simba Day Jumatatu.


  Mkurugenzi Mtendaji wa CRDB, Abdulmajid Nsekela akikabidhi mfano wa Hundi ya Sh. Milioni 25 kwa Mtendaji Mkuu wa Simba, Barbara Gonzalez kwa ajili ya udhamini wa Simba Day.


  Makamu wa Rais Yanga SC na Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi Wiki ya Mwananchi Arafat Haji na Mkuu wa Kitengo cha Kadi CRDB Farid Seif kwenye picha ya pamoja baada ya kusaini mkataba wa udhamini kwenye Wiki Ya Mwananchi 2022.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: CRDB YAPIGA JEKI MATAMASHA YA SIMBA NA YANGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top