• HABARI MPYA

  Sunday, August 07, 2022

  TANZANIA YATUPWA NJE FAINALI ZA AFRIKA SOKA LA UFUKWENI


  TANZANIA imetupwa nje kwenye kinyang’anyiro cha tiketi ya Fainali za Soka la Ufukweni Afrika licha ya ushindi wa 7-6 jioni ya leo ufukwe wa Coco Jijini Dar es Salaam.
  Malawi inafuzu kwa faida ya mabao ya ugenini baada ya sare ya jumla ya 9-9 kufuatia ushindi wa 3-2 kwenye mchezo wa kwanza nyumbani.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: TANZANIA YATUPWA NJE FAINALI ZA AFRIKA SOKA LA UFUKWENI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top