• HABARI MPYA

  Sunday, August 07, 2022

  CHELSEA YAICHAPA EVERTON 1-0 GOODISON PARK


  BAO la penalti la Jorginho dakika ya 45 na ushei jana lilitosha kuipa Chelsea ushindi wa 1-0 dhidi ya Everton katika mchezo wao wa kwanza wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Goodison Park Jijini Liverpool.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: CHELSEA YAICHAPA EVERTON 1-0 GOODISON PARK Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top