• HABARI MPYA

  Sunday, August 14, 2022

  NEYMAR APIGA MBILI PSG YASHINDA 5-2 UFARANSA


  MSHAMBULIAJI Mbrazil, Neymar ameendelea kung'ara katika Ligi ya Ufarans abaada ya kufunga mabao mawili jana Paris Saint-Germain FC ikiichapa Montpellier 5-2 kwenye mchezo wa Ligue 1 Uwanja wa Parc des Princes Jijini Paris.
  Neymar alifunga kwa penalti dakika ya 43 na lingine dakika ya 51, wakati mabao mengine ya PSG yalifungwa na Kylian Mbappe dakika ya 69, na mchezaji mpya Renato Sanches dakika ya 87 huku ya Montpellier Wahbi Khazri dakika ya 58 na Enzo Gianni Tchato dakika ya 90.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: NEYMAR APIGA MBILI PSG YASHINDA 5-2 UFARANSA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top