• HABARI MPYA

  Wednesday, August 31, 2022

  SIMBA SC YACHAPWA 1-0 NA EL HILAL SUDAN


  KLABU ya Simba imekamilisha mechi zake za kirafiki nchini Sudan kwa kuchapwa 1-0 na wenyeji, El Hilal usiku huu Uwanja wa El Hilal mjini Khartoum.
  Bao pekee la El Hilal limefungwa na John Mano dakika ya 62 na kwa matokeo hayo wanamaliza na pointi sita, baada ya kuifunga na Asante Kotoko ya Ghana 5-0, timu ambayo ilifungwa 4-2 na Simba.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SIMBA SC YACHAPWA 1-0 NA EL HILAL SUDAN Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top