CHANELI ya Azam Sports 3 jana ilionyesha mechi mbili za Ligi ya Ufaransa, ikiwemo ya PSG kuibuka na ushindi wa 5-0 dhidi ya Clemont huku Lionel Messi akifunga mawili, moja kwa tik tak – mabao mengine ya PSG yalifungwa na Neymar, Achraf Hakimi na Marquinhos.
0 comments:
Post a Comment