• HABARI MPYA

  Tuesday, August 30, 2022

  REFA WA YANGA NA COASTAL ARUSHA AFUNGIWA

  REFA Raphael Ikambi wa Morogoro ameondolewa kwenye orodha ya waamuzi wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara kwa mizinguko mitatu kufuatia kushindwa kutafsiri kanuni kwenye kati ya Coastal Union na Yanga Agosti 21, Uwanja wa Sheikh Amri Abied Jijini Arusha.   • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: REFA WA YANGA NA COASTAL ARUSHA AFUNGIWA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top