• HABARI MPYA

  Friday, August 12, 2022

  AZAM FC KUCHEZA NA ZESCO YA ZAMBIA KATIKA AZAMKA JUMAPILI CHAMAZI


  KLABU ya Azam FC itamenyana na ZESCO United ya Zambia katika mchezo wa kirafiki Jumapili Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, nje kidogo ya Jiji l Dar es Salaam kwenye tamasha lake maalum, lililopewa jina Azamka.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: AZAM FC KUCHEZA NA ZESCO YA ZAMBIA KATIKA AZAMKA JUMAPILI CHAMAZI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top