WENYEJI, Azam FC jana waliichapa Arta Solar ya Djibouti mabao 3-0 katika mchezo wa kirafiki Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam.
Mabao ya Azam FC yamefungwa na kiungo Muivory Coast, Tape Edinho dakika ya pili na washambuliaji Mzimbabwe, Prince Dube dakika ya 62 na Mkongo, Idris Mbombo dakika ya 83.
0 comments:
Post a Comment