PITSO MOSIMANE AKITOA MAFUNZO YA SOKA KWA WATOTO DAR
ALIYEWAHI kuwa kocha wa Mamelodi Sundowns ya kwao, Afrika Kusini na Al Ahly ya Misri kwa mafanikio, Pitso Mosimane akitoa mafunzo ya soka kwa vijana wadogo leo asubuhi Viwanja vya Gymkhana kuelekea Siku ya Mwananchi kesho Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.
0 comments:
Post a Comment