• HABARI MPYA

  Saturday, August 13, 2022

  RAIS MO DEWJI ATETA NA WACHEZAJI SIMBA WAIPIGE YANGA LEO


  RAIS wa heshima wa Simba SC, Mohammed Dewji jana amekutana na kuongea na wachezaji kuelekea mchezo wa kesho wa Ngao ya Jamii leo dhidi ya mahasimu, Yanga SC Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: RAIS MO DEWJI ATETA NA WACHEZAJI SIMBA WAIPIGE YANGA LEO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top