• HABARI MPYA

  Monday, August 15, 2022

  SPURS YALAZIMISHA SARE 2-2 NA CHELSEA STAMFORD BRIDGE


  WENYEJI, Chelsea wamelazimishwa sare ya 2-2 na Tottenham Hotspur katika mchezo wa Ligi Kuu ya England jana Uwanja wa Stamford Bridge Jijini London.
  Mabao ya Chelsea yamefungwa na Kalidou Koulibaly dakika ya 19 na Reece James dakika ya 77, wakati ya Spurs yamefungwa na Pierre-Emile Hojbjerg dakika ya 68 na Nahodha wake, Harry Kane dakika ya 90.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SPURS YALAZIMISHA SARE 2-2 NA CHELSEA STAMFORD BRIDGE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top