• HABARI MPYA

  Monday, August 15, 2022

  YUSUF BAKHRESA AKUTANA NA WACHEZAJI AZAM FC


  MKURUGENZI wa Azam FC, Yusuf Bakhresa jana alikutana na wachezaji kupanga mikakati ya msimu ujao.
  Bakhresa aliyekuwa na Mwenyekiti, Nassor Idrissa 'Father', amefanya usajili kabambe kwa ajili ya kuipa mafanikio timu hii msimu ujao, akisajili wachezaji wenye viwango vya hali ya juu.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: YUSUF BAKHRESA AKUTANA NA WACHEZAJI AZAM FC Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top