• HABARI MPYA

  Wednesday, August 17, 2022

  MBEYA CITY YAANZA NA MOTO LIGI KUU, YAICHAPA DODOMA JIJI 3-1


  TIMU ya Mbeya City imeanza vyema Ligi Kuu ya Tanzania Bara baada ya ushindi wa 3-1 dhidi ya wenyeji, Dodoma Jiji Uwanja wa LITI, Singida.
  Mabao ya Mbeya City yamefungwa na Rashid Chambo aliyejifunga dakika ya 26, Sixtus Sabilo dakika ya 42 na Eliud Ambikile dakika ya 63, wakati la Dodoma Jiji limefungwa na Paul Peter dakika ya 18.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MBEYA CITY YAANZA NA MOTO LIGI KUU, YAICHAPA DODOMA JIJI 3-1 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top