• HABARI MPYA

  Sunday, August 14, 2022

  ARSENAL YAICHAPA LEICESTER CITY 4-2


  WENYEJI, Arsenal jana wamepata ushindi wa pili mfululizo katika Ligi Kuu ya England baada ya kuichapa Leicester City 4-2  Uwanja wa Emirates Jijini London.
  Mabao ya Arsenal yamefungwa na Gabriel Jesus dakika ya 23 na 35, Granit Xhaka dakika ya 55 na Gabriel Martinelli dakika ya 75, wakati ya Leicester yamefungwa na William Saliba aliyejifunga dakika ya 53 na James Maddison dakika ya 74.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: ARSENAL YAICHAPA LEICESTER CITY 4-2 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top