• HABARI MPYA

  Tuesday, August 23, 2022

  AZAM FC KUCHEZA NA TIMU YA KALOU, SONG CHAMAZI


  TIMU ya Azam FC itacheza mchezo wa kimataifa wa kirafiki dhidi ya mabingwa wa Djibout, AS Arta Solar 7 Agosti 30 Uwanja wa Azam Complex, Chamazi nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam.
  Arta Solar imesajili nyota wa zamani waliowika kwenye Ligi Kuu England, Mcameroon Alex Song aliyewika Arsenal na Muivory Coast, Solomon Kalou aliyetamba Chelsea.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: AZAM FC KUCHEZA NA TIMU YA KALOU, SONG CHAMAZI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top