• HABARI MPYA

  Wednesday, August 03, 2022

  MAPINDUZI BALAMA AJIUNGA NA MTIBWA SUGAR


  ALIYEKUWA kiungo wa Yanga SC, Balama Mapinduzi amejiunga na mabingwa wa zamani wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara, Mtibwa Sugar.
  Pamoja na Mapinduzi, mchezaji wa zamani wa Mbao FC ya Mwanza, wengine wapya waliotambulishwa Mtibwa ni beki Mkongo, Paschal Kitenge kutoka Coastal Union ya Tanya.
  Wengine ni kipa Mohamed Makaka kutoka Ruvu Shooting, winga Charles Ilamfya kutoka KMC na beki Iddi Mobby kutoka Polisi Tanzania.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MAPINDUZI BALAMA AJIUNGA NA MTIBWA SUGAR Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top