• HABARI MPYA

  Sunday, August 28, 2022

  AZAM FC YATOA SARE 0-0 NA JANG'OMBE BOYS AMAAN


  KATIKA kujiandaa na mchezo wao ujao wa Ligi Kuu dhidi ya mabingwa watetezi, Yanga SC – timu ya Azam FC jana imelazimishwa sare ya bila kufungana na wenyeji, Taifa Jang'ombe Uwanja wa Amaan, Zanzibar.
  Timu hiyo ya kocha Mmarekani mzaliwa wa Somalia, Abdihamid Moallin anayesaidiwa na jopo la Waspaniola itashuka tena dimbani keshokutwa Uwanja wa nyumbani wa Azam Complex, Chamazi Jijini Dar es Salaam kumenyana na Arta Solar ya Djibouti kabla ya kuivaa Yanga wiki ijayo.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: AZAM FC YATOA SARE 0-0 NA JANG'OMBE BOYS AMAAN Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top