• HABARI MPYA

  Wednesday, August 17, 2022

  SIMBA QUEENS YAENDELEZA UBABE KLABU BINGWA WANAWAKE AFRIKA MASHARIKI


  TIMU ya Simba Queens imeendeleza wimbi la ushindi katika Klabu Bingwa ya Wanawake Afrika Mashariki na Kati baada ya kuichapa She Corporate ya Uganda 2-0 jioni ya leo Uwanja wa Azam Complex, Chamazi nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam.
  Mabao ya Simba Queens leo yamefungwa na Vivien Aquino Corazone dakika ya 21 na Pambani Kuzoya dakika ya 61 huo ukiwa ushindi wa pili kwenye Kundi B baada ya awali kuichapa Garde Republicaine ya Djibouti 6-0 Jumatatu.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SIMBA QUEENS YAENDELEZA UBABE KLABU BINGWA WANAWAKE AFRIKA MASHARIKI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top