• HABARI MPYA

  Wednesday, August 17, 2022

  AZAM FC YATOKA NYUMA KUICHAPA KAGERA SUGAR 2-1 CHAMAZI


  WENYEJI, Azam FC wametoka nyuma na kushinda 2-1 dhidi ya Kagera Sugar katika mchezo wa kuhitimisha Raundi ya kwanza ya Ligi Kuu ya Tanzania Bara usiku huu Uwanja wa Azam Complex, Chamazi nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam. 
  Mabao ya Azam FC yamefungwa na mshambuliaji Mzimbabwe, Prince Dube dakika ya 17 na chipukizi Tepsie Evans dakika ya 58 baada ya Kagera Sugar kutangulia na bao la Anuary Jabir dakika ya 10.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: AZAM FC YATOKA NYUMA KUICHAPA KAGERA SUGAR 2-1 CHAMAZI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top