• HABARI MPYA

  Monday, August 15, 2022

  RUVU SHOOTING YAICHAPA IHEFU 1-0 MBARALI


  TIMU ya Ruvu Shooting imeanza vyema msimu mpya wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara baada ya ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Ihefu SC jioni ya leo Uwanja wa Hghland Estate, Ubaruku, Mbarali mkoani Mbeya.
  Bao pekee la Ruvu Shooting katika mchezo huo limefungwa na nyota wake, Ally Bilal dakika ya 19.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: RUVU SHOOTING YAICHAPA IHEFU 1-0 MBARALI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top