• HABARI MPYA

  Friday, August 05, 2022

  KATIBU WA CAF AWASILI NCHINI KWA AJILI YA MKUTANO WA ARUSHA


  KATIBUMkuu wa Shirikisho la Soka Afrika (CAF), Véron Mosengo-Omba (wa kwanza kushoto) akiwa kwenye picha ya pamoja na Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wallace Karia (wa pili kulia), Makamu wa Kwanza wa Rais wa TFF, Athuman Nyamlani (wa kwanza kulia), na Mkurugenzi wa Maendeleo ya Michezo Yusuph Singo ( wa pili kushoto) baada ya kupokelewa uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) kuelekea Mkutano Mkuu wa CAF utakaofanyika Agosti 10, 2022 Arusha.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KATIBU WA CAF AWASILI NCHINI KWA AJILI YA MKUTANO WA ARUSHA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top