• HABARI MPYA

  Friday, August 05, 2022

  PITSO MGENI WA YANGA, NABI AONGEZA MKATABA JANGWANI  ALIYEWAHI kuwa kocha wa Mamelodi Sundowns ya kwao, Afrika Kusini na Al Ahly ya Misri kwa mafanikio, Pitso Mosimane amealikwa na Yanga kishiriki Wiki ya Mwananchi.
  Mosimane amekwishawasili nchini na mapema kesho ataendesha mafunzo ya soka ya watoto, kabla ya kuzungumza na Waandishi wa Habari.
  Wakati huo huo kocha Mtunisia, Nasredine Nabi ameongeza mkataba wa kuendelea na kazi Yanga.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: PITSO MGENI WA YANGA, NABI AONGEZA MKATABA JANGWANI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top