KOCHA NABI NA RAIS HERSI BAADA YA KUONGEZA MKATABA YANGA SC
KOCHA Mtunisia, Nasredine Mohamed Nabi akiwa na Rais wa Yanga baada ya kusaini mkataba wa kuendelea kufundisha mabingwa hao wa Tanzania kufuatia msimu mzuri uliopita akiiwezesha kushinda mataji yote nchini.
0 comments:
Post a Comment