• HABARI MPYA

  Thursday, August 04, 2022

  SIMBA YAWATEMA, LWANGA, KAGERE NA MUGALU  UONGOZI wa klabu ya Simba umefikia makubaliano ya kuvunja mkataba na wachezaji wake watatu, kiungo Mganda, Taddeo Lwanga na washambuliaji, Mmyarwanda Medie Kagere na Mkongo, Chris Mugalu.
  “Baada ya mazungumzo na wachezaji hao hatimaye tumefikia makubaliano ya kuvunja mkataba kwa kuzingatia maslahi ya pande zote,” imesema taarifa ya Simba.
  Katika Hatua nyingine, Simba imeimarisha mechi lake kwa kuajiri kocha wa makipa. Mohamed Rachid kutoka

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SIMBA YAWATEMA, LWANGA, KAGERE NA MUGALU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top