• HABARI MPYA

  Tuesday, August 16, 2022

  LIVERPOOL SARE YA PILI MFULULIZO LIGI KUU ENGLAND


  WENYEJI, Liverpool jana wamelazimishwa sare ya 1-1 nyumbani na Crystal Palace katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Anfield.
  Liverpool ilimaliza pungufu mechi hiyo baada ya Darwin Nunez kutolewa kwa kadi nyekundu dakika ya 57 kufuatia kumpiga kichwa Joachim Andersen.
  Wilfried Zaha alianza kuifungia Crystal Palace dakika ya 32, kabla ya Luis Diaz kuisawazishia Liverpool dakika ya 61 ilitoa sare mbili mfululizo katika mechi mbili za mwanzo za msimu.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: LIVERPOOL SARE YA PILI MFULULIZO LIGI KUU ENGLAND Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top