• HABARI MPYA

  Wednesday, August 31, 2022

  CHELSEA YATANGULIA, YALALA 2-1 KWA SOUTHAMPTON


  WENYEJI, Southampton jana wametoka nyuma na kuichapa Chelsea mabao 2-1 Uwanja wa St Mary's.
  Raheem Sterling alianza kuifungia Chelsea dakika ya 23, kabla ya Southampton kutoka nyuma kwa mabao ya Romeo Lavia dakika ya 28 na Adam Armstrong dakika ya 45 na ushei.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: CHELSEA YATANGULIA, YALALA 2-1 KWA SOUTHAMPTON Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top