// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); KIUNGO WA SIMBA ILIYOFIKA FAINALI CAF MWAKA 1993 AFARIKI DUNIA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE KIUNGO WA SIMBA ILIYOFIKA FAINALI CAF MWAKA 1993 AFARIKI DUNIA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
 • HABARI MPYA

  Monday, August 08, 2022

  KIUNGO WA SIMBA ILIYOFIKA FAINALI CAF MWAKA 1993 AFARIKI DUNIA


  KIUNGO wa ulinzi wa zamani wa Simba SC, Iddi Suleiman Kibode ‘Nyigu’ amefariki Dunia ya usiku wa kuamkia leo katika hospitali ya Muhimbili alipolazwa kwa matibabu.
  Kibode, mdogo wa mshambuliaji wa zamani wa Simba, Madaraka Suleiman Kibode ‘Mzee wa Kiminyio’, alikuwemo kwenye kikosi cha Wekundu wa Msimbazi kilichofika Fainali ya Kombe la CAF mwaka 1993.
  Kibode katika picha hii ni wa pili kutoka kulia waliochuchumaa baada ya Edward Chumila (marehemu pia).
  Mungu ampumzishe kwa amani.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KIUNGO WA SIMBA ILIYOFIKA FAINALI CAF MWAKA 1993 AFARIKI DUNIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top