• HABARI MPYA

  Saturday, August 27, 2022

  MAN UNITED YASHINDA TENA, YAICHAPA SOUTHAMPTON 1-0


  BAO pekee la Bruno Fernandes dakika ya 55, limeipa Manchester United ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Southampton Uwanja wa St. Mary's, Southampton, Hampshir.
  Ni ushindi wa pili mfululizo kwa kocha mpya, Mholanzi Erik ten Hag katika msimu mpya wa Ligi Kuu ya England, baada ya mwanzo mbaya wakipoteza mechi mbili mfulullizo.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MAN UNITED YASHINDA TENA, YAICHAPA SOUTHAMPTON 1-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top