YANGA SC KUMENYANA NA AFRICAN SPORTS YA TANGA KATIKA MECHI YA KIRAFIKI KESHO CHAMAZI
VIGOGO, Yanga SC kesho watamenyana na maswahiba wao kutoka Tanga, Africans Sports ya Daraja la Kwanza katika mchezo wa kirafiki Uwanja wa Azam Complex Chamazi, kuanzia Saa 1:00. Viingilio katika mchezo huo ni Sh. 3,000 mzunguko na Sh. 5,000 kwa VIP.
0 comments:
Post a Comment