• HABARI MPYA

  Thursday, February 11, 2021

  RAKITIC AFUNGA SEVILLA YAICHAPA BARCELONA 2-0 KOMBE LA MFALME


  MABAO ya beki Mfaransa, Jules Koundé dk25 na Mcroatia, Ivan Rakitic dk85 jana yaliwapa wenyeji, Sevilla ushindi wa 2-0 dhidi ya Barcelona katika mchezo wa kwanza wa Nusu Fainali ya Kombe la Mfalme, Copa del Rey Uwanja wa Ramón Sánchez Pizjuan.
  Timu hizo zitarudiana Machi 3 Uwanja wa Camp Nou. Mara ya mwisho zilikutana katika Robo Fainali ya michuano hiyo miaka miwili iliyopita na Sevilla ilishinda mechi ya kwanza 2-0 kabla ya kwenda kupigwa 6-1
   

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: RAKITIC AFUNGA SEVILLA YAICHAPA BARCELONA 2-0 KOMBE LA MFALME Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top