• HABARI MPYA

  Saturday, February 13, 2021

  CAF YAFUTA MECHI YA NAMUNGO NA PRIMIERO DE AGOSTO ANGOLA KWA SABABU YA MIZENGWE ILIYOJITOKEZA

  SHIRIKISHO la Soka Afrika (CAF) limefuta mechi ya mchujo wa kuwania hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho baina ya wenyeji Primiero de Agosto na Namungo FC ya Tanzania iliyopangwa kuchezwa kesho Uwanja wa Novemba 11 Jijini Luanda.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: CAF YAFUTA MECHI YA NAMUNGO NA PRIMIERO DE AGOSTO ANGOLA KWA SABABU YA MIZENGWE ILIYOJITOKEZA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top