• HABARI MPYA

  Jumanne, Februari 09, 2021

  YANGA SC KUMENYANA NA KENGOLD FC YA MBEYA, SIMBA NA AFRICAN LYON RAUNDI YA NNE ASFC

  DROO ya Raundi ya Nne ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Sports Federation Cup (ASFC) imefanyika leo na mabingwa watetezi, Simba SC watamenyana na African Lyon, zote za Dar es Salaam.
  Vigogo wengine, Yanga SC watamenyana na Kengold FC y
  a Daraja la kwanza kutoka mkoani Mbeya, wakati Azam FC watamenyana na Mbuni FC ya Daraja Pili kutoka Arusha.


  DROO KAMILI RAUNDI YA NNE ASFC: 
  πŸ‘‰73 Mtibwa Sugar vs JKT Tanzania 
  πŸ‘‰74 Namungo FC vs Mbeya City 
  πŸ‘‰75 Mwadui FC vs Gwambina FC 
  πŸ‘‰76 Coastal Union vs Ihefu FC 
  πŸ‘‰77 Arusha FC vs Mashujaa FC 
  πŸ‘‰78 Rhino Rangers vs Tunduru Korosho 
  πŸ‘‰79 Kagera Sugar vs Eagle Stars 
  πŸ‘‰80 African Lyon vs Simba SC 
  πŸ‘‰81 Mbao FC vs Ruvu Shooting 
  πŸ‘‰82 Yanga SC vs Kengold FC 
  πŸ‘‰83 Polisi Tanzania vs Kwamndolwa 
  πŸ‘‰84 Dodoma FC vs Kipigwe FC 
  πŸ‘‰85 KMC vs Kurugenzi FC 
  πŸ‘‰86 Azam FC vs Mbuni FC 
  πŸ‘‰87 Sahara All Stars vs Tz Prisons 
  πŸ‘‰88 Biashara United vs Transit Camp
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: YANGA SC KUMENYANA NA KENGOLD FC YA MBEYA, SIMBA NA AFRICAN LYON RAUNDI YA NNE ASFC Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top