• HABARI MPYA

  Friday, February 19, 2021

  MAN UNITED YAICHAPA REAL 4-0 NA KUTINGA UEFA EUROPA LEAGUE


  TIMU ya Manchester United imefanikiwa kutinga Hatua ya 16 Bora ya UEFA Europa League baada ya ushindi wa 4-0 dhidi ya Real Sociedad, mabao ya Bruno Fernandes mawili dakika ya 27 na 57, Marcus Rashford dakika ya 64 na Daniel James dakika ya 90 usiku wa jana Uwanja wa Allianz Jijini Torino
   
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MAN UNITED YAICHAPA REAL 4-0 NA KUTINGA UEFA EUROPA LEAGUE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top