• HABARI MPYA

  Monday, February 15, 2021

  NGORONGORO HEROES WAKIPASHA JIJINI NOUADHIBOU KUELEKEA MECHI NA GHANA AFCON U20 KESHO

  WACHEZAJI wa timu ya taifa ya vijana chini ya umri wa miaka 20, Ngorongoro Heroes wakifanya mazoei jana Jijini Nouadhibou nchini Mauritania kuelekea mchezo wa ufunguzi wa Kundi C Fainali za AFCON U20 dhidi ya Ghana kesho.

  Mechi nyingine za Ngorongoro Heroes iliyo chini ya kocha Jamhuri Kihwelo ‘Julio’ ni dhidi ya Gambia Februari 19 na Morocco Februari 22, na zote Uwanja wa Manispaa ya Nouadhibou.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: NGORONGORO HEROES WAKIPASHA JIJINI NOUADHIBOU KUELEKEA MECHI NA GHANA AFCON U20 KESHO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top