• HABARI MPYA

  Sunday, February 14, 2021

  LEICESTER CITY YAICHAPA LIVERPOOL MABAO 3-1 KING POWER


  TIMU ya Leicester City jana imeichapa Liverpool 3-1 katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa King Power.
  Foxes walipata mabao yote ndani ya dakika ya saba, wafungaji James Maddison dakika ya 78, Jamie Vardy dakika ya 81 na Harvey Barnes dakika ya 85, wakati la Liverpool lilifungwa na Mohamed Salah dakika ya 66 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: LEICESTER CITY YAICHAPA LIVERPOOL MABAO 3-1 KING POWER Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top