• HABARI MPYA

  Jumamosi, Februari 27, 2021

  YANGA SC YAICHAPA KEN GOLD 1-0 KWA MBINDE NA KUSONGA MBELE MICHUANO YA AZAM SPORTS FEDERATION CUP

  BAO la penalti la Mrundi, Fiston Abdul Razak limeipa Yanga SC ushindi wa 1-0 dhidi ya Ken Gold katika mchezo wa Hatua ya 32 Bora Azam Sports Federation Cup jioni ya leo Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam.
  Yanga SC inasonga mbele Hatua ya 16 Bora na itakutana na mshindi kati ya Sahare All Stars na Tanzania Prisons zinazomenyana kesho.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: YANGA SC YAICHAPA KEN GOLD 1-0 KWA MBINDE NA KUSONGA MBELE MICHUANO YA AZAM SPORTS FEDERATION CUP Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top