• HABARI MPYA

  Jumamosi, Februari 06, 2021

  ASTON VILLA YAICHAPA ARSENAL 1-0 BAO PEKEE LA OLLIE WATKINS


  BAO pekee la Ollie Watkins dakika ya pili tu limeipa Aston Villa ushindi wa 1-0 dhidi Arsenal kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Villa Park.
  Aston Villa inafikisha pointi 35 baada ya kucheza mechi 21 na kupanda nafasi ya nane, mbele ya Tottenham Hotspur yenye pointi 33 za mechi 21 na Arsenal point 31 za mechi 23 sasa 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: ASTON VILLA YAICHAPA ARSENAL 1-0 BAO PEKEE LA OLLIE WATKINS Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top