• HABARI MPYA

  Friday, February 26, 2021

  AUBAMEYANG APIGA MBILI ARSENAL YAICHAPA BENFICA 3-2


  TIMU ya Arsenal imefanikiwa kwenda Hatua ya 16 Bora UEFA Europa League baada ya ushindi wa 3-2 dhidi ya Benfica jana Uwanja wa Georgios KaraiskákiJijini Piraeus.
  Arsenal inasonga mbele kwa ushindi wa jumla wa 4-3 baada ya sare ya 1-1 kwenye mchezo wa kwanza.
  Mabao ya Arsenal yalifungwa na Pierre-Emerick Aubameyang mawili dakika ya 21 na 87 na Kieran Tierney dakika ya 67, wakati ya Benfica yamefungwa na Diogo Gonçalves dakika ya 43 na Rafa Silva dakika ya 61. 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: AUBAMEYANG APIGA MBILI ARSENAL YAICHAPA BENFICA 3-2 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top