• HABARI MPYA

  Sunday, February 07, 2021

  REAL MADRID YAWACHAPA WENYEJI HUESCA 2-1 LA LIGA


  KATIKA La Liga, Real Madrid jana wamewachapa wenyeji, Huesca 2-1 Uwanja wa El Alcoraz na kurejea nafasi ya pili nyuma ya mahasimu wao wa Jiji, Atletico Madrid wanaondelea kuongoza kwa pointi saba zaidi (50-43, mechi 19-21).
  Mabao ya Real Madrid jana yote yalifungwa na Raphael Varane dakika ya 54 na 84, wakati la Huesca lilifungwa na Javier Galan dakika ya 48 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: REAL MADRID YAWACHAPA WENYEJI HUESCA 2-1 LA LIGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top