• HABARI MPYA

  Jumatano, Februari 03, 2021

  ADI YUSSUF AJIUNGA NA CHESTERFIELD FC YA DARAJA LA TANO ENGLAND KWA MKOPO KUTOKA BLACKPOOL


  MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Tanzania, Adi Yussuf amejiunga na Chesterfield FC ya Chesterfield, Derbyshire inayoshiriki Daraja la Tano England kwa mkopo kutoka Blackpool.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: ADI YUSSUF AJIUNGA NA CHESTERFIELD FC YA DARAJA LA TANO ENGLAND KWA MKOPO KUTOKA BLACKPOOL Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top