TFF YAMTAMBULISHA MDENMARK KIM POULSEN KUWA KOCHA MPYA WA TAIFA STARS KWA MIAKA MITATU
SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF), limemtambulisha Mdenmark Kim Polusen kuwa kocha mpya wa timu ya taifa ya wakubwa, Taifa Stars akichukua nafasi ya Mrundi, Etienne Ndayiragijje aliyeondolewa.
0 comments:
Post a Comment