• HABARI MPYA

  Jumatano, Februari 03, 2021

  WOLVERHAMPTON WANDERERS YAICHAPA ARSENAL 2-1 ENGLAND


  TIMU ya Wolverhampton Wanderers jana imeichapa Arsenal 2-1 katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Molineux, West Midlands.
  Arsenal ilimaliza pungufu baada ya wachezaji wake wawili kutolewa kwa kadi nyekundu, David Luiz dakika ya 45 na ushei na Bernd Leno dakika ya 72, wakati mabao ya Wolves yalifungwa na Ruben Neves kwa penalti dakika ya 45 na ushei na Joao Moutinho dakika ya 49
   
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: WOLVERHAMPTON WANDERERS YAICHAPA ARSENAL 2-1 ENGLAND Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top