• HABARI MPYA

  Monday, February 22, 2021

  MECHI YA CR BELOUIZDAD YA ALGERIA NA MAMELODI SUNDOWNS YA AFRKA KUSINI LIGI YA MABINGWA KUCHEZWA DAR

  SHIRIKISHO la Soka Afrika limeridhia mechi ya hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika baina ya CR Belouizdad ya Algeria ichezwe Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam Februari 28, mwaka huu.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MECHI YA CR BELOUIZDAD YA ALGERIA NA MAMELODI SUNDOWNS YA AFRKA KUSINI LIGI YA MABINGWA KUCHEZWA DAR Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top