• HABARI MPYA

  Jumatatu, Februari 01, 2021

  SALAH APIGA MBILI LIVERPOOL YAICHAPA WEST HAM UNITED 3-1


  NYOTA Mmisri, Mohamed Salah jana amefunga mabao mawili 57 na 68, Liverpool ikiibuka na ushindi wa 3-1 dhidi ya wenyeji, West Ham United katika mchezo wa Ligi Kuu ya England jana Uwanja wa London.
  Bao lingine la Liverpool lilifungwa na Georginio 'Gini' Wijnaldum dakika ya 84, wakati la Craig Dawson dakika ya 87 na sasa kikosi cha Jugenr Klop kinapanda nafasi ya tatu kikifikisha pointi 40, wakiwa wanazidiwa pointi moja na Manchester United baada ya wote kucheza mechi 21
   
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: SALAH APIGA MBILI LIVERPOOL YAICHAPA WEST HAM UNITED 3-1 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top