• HABARI MPYA

  Jumatatu, Februari 08, 2021

  TUCHEL AIPA CHELSEA USHINDA MECHI YA TATU MFULULIZO


  TIMU ya Chelsea jana imeichapa Sheffield United 2-1 katika Ligi Kuu ya England Uwanja wa Bramall Lane, huo ukiwa ushindi wao wa tatu mfululizo chini ya kocha mpya, Thomas Tuchel aliyechukua nafasi ya Frank Lampard aliyeondolewa.
  Mabao ya Chelsea yamefungwa na Mason Mount dakika ya 43, Jorginho kwa penalti dakika ya 58 huku la Sheffield akijifunga Antonio Rudiger dakika ya 55 na kwa ushindi huo, The Blues wanafikisha pointi 39 na kupanda nafasi ya tano, wakizidiwa pointi moja na mabingwa watetezi, Liverpool baada ya wote kucheza mechi 23
   
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: TUCHEL AIPA CHELSEA USHINDA MECHI YA TATU MFULULIZO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top