• HABARI MPYA

  Tuesday, February 16, 2021

  CHELSEA YAICHAPA NEWCASTLE UNITED 2-0 NA KUREJEA NNE BORA


  MABAO ya Olivier Giroud dakika ya 31 na Timo Werner  dakika ya 39 jana yaliipa Chelsea ushindi wa 2-0 dhidi ya Newcastle United kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Stamford Bridge Jijini London.
  Ushindi huo unaifanya Chelsea ifikishe pointi 42 baada ya kucheza mechi 24 na kurejea Nne Bora, ikipanda nafasi ya nne nyuma ya Leicester City na Manchester United zenye pointi 46 kila timu baada ya kucheza mechi 24
   
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: CHELSEA YAICHAPA NEWCASTLE UNITED 2-0 NA KUREJEA NNE BORA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top