• HABARI MPYA

  Jumatatu, Februari 01, 2021

  CHELSEA YASHINDA MECHI YA KWANZA CHINI YA THOMAS TUCHEL


  CHELSEA imepata ushindi wa kwanza chini ya kocha Thomas Tuchel baada ya kuichapa Burnley 2-0, mabao ya Cesar Azpilicueta dakika ya 40 na Marcos Alonso dakika ya 84 Uwanja wa Stamford Bridge, London.
  Kwa ushindi huo, The Blues inafikisha pointi 33 baada ya kucheza mechi 21 na kusogea nafasi ya saba, ikiwa inazidiwa pointi 11 na vinara, Manchester City
   PICHA ZAIDI GONGA HAPA  
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: CHELSEA YASHINDA MECHI YA KWANZA CHINI YA THOMAS TUCHEL Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top